The House of Favourite Newspapers

ALI KIBA “NILIKUA Natamani ABDU KIBA Afunge MZUKA” – Video

MSANII wa Bongo Fleva ambaye ameungana na mchezaji wa Timu ya Taifa ya Tanzania na anayekipiga katika klabu ya KRC Genk ya Nchini Ubelgiji kwa kufanya kampeni yao ya Nifuate yenye Lengo la kusaidia watoto wenye maisha magumu leo wamecheza mechi ya kirafiki ambapo ali Kiba amefungwa kwa idadi ya magoli 6-3.

 

Ali Kiba amewashkuru mashabiki wake pamoja na mashabiki wa Samatta kufika uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na kukamilisha kampeni yao hiyo.

ALI KIBA “NILIKUA Natamani ABDU KIBA Afunge MZUKA”

Comments are closed.