Amuua Mkewe Baada Ya Kulewa, Mashuhuda Waeleza – Video
Mwanamke mmoja kazi wa Mtaa wa shule, kata ya Kiloleni mkoani Tabora aliyejulikana kwa Jina la hawa Juma amekutwa ameuwawa kwa kupigwa na mwenza wake aliyejulikana kwa Jina maarufu ‘Chura’ wakati ambao alikuwa amelewa.
Baadhi ya majirani wameeleza chanzo cha kifo hicho ni ugomvi ambao ulikuwa ukitokea mara kwa mara katika familia hiyo kwa nyakati tofauti tofauti.