The House of Favourite Newspapers

Awania Kuweka Kuweka Rekodi ya ‘HIPS’ Kubwa

0

MWANAMKE kibonge, Bobbi-Jo Westley (43) wa Pennyslvania, Marekani, mwenye uzito wa kilo 245.8 na kiuno cha sentimita 241.3 ameamua kwamba lazima aweke rekodi ya kuwa na nyonga (hips) kubwa zaidi duniani ambayo itafikia kipimo cha sentimita 251.5 na kuvunja rekodi ya dunia.

 

 

“Nitakufa nikijaribu kuvunja rekodi ya dunia ya nyonga kubwa zaidi,” alisema mwanamke huyo. Mwanamke huyo ambaye ameolewa na ni maarufu kwenye mtandao wa intaneti, huingiza kiasi cha Sh. Milioni 5 kwa saa kupitia maonesho ya mwili wake kwa mashabiki kupitia mitandao akiwa mtupu. Baadhi ya mashabiki humtumia meseji za kutaka kumuoa kutokana na shepu yake inavyowavutia.

 

 

Bobi amesema hataacha kula hadi akifi kia kipimo hicho cha kuvunja rekodi ya dunia ili amshinde mtu anayeshikilia rekodi hiyo tangu mwaka 2013 aitwaye Mikel Ruffinell anayeishi Los Angeles, Marekani.

Leave A Reply