Mtangazaji na staa wa mitandaoni na Mkurugenzi wa 7 Media, Baba Levo amefunguka kuwa ameishia elimu ya shule ya msingi na namba saba katika jina la kampuni yake linawakilisha elimu yake aliyoishia.