The House of Favourite Newspapers

Balaa la Jide Kwenye Show ya Kuufungua Mwaka 2019 – VIDEO

SHOO kubwa ya aina yake ya kufungua mwaka 2019 iliyopewa jina la Masauti Luxury imefanyika usiku wa kuamkia leo katika Viwanja vya Life Club, Mwenge jijini Dar es Salaam ambapo mwanadada  ‘lejendari’ wa muziki wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, mkongwe wa muziki wa dansi, Christian Bella ‘Obama,’ Aslay Isihaka, Hellen George ‘Ruby’ na Beka walifanya makamuzi ya kutosha.

VIDEO: SHUHUDIA SHOO HIYO ILIVYOBAMBA

Comments are closed.