BENDI ya Rickernest Musica hivi karibuni wamekinukisha katika ukumbi wa Kisasa wa Cocoriko Anex, uliopo Sakina Arusha, ambao unamilikia na John Mdenye na kwasasa ndio unabamba katika jiji la Arusha.