The House of Favourite Newspapers

Benki ya Dunia Waikubali Teknolojia ya IP Transit ya TTCL – Video

SHIRIKA la Mawasiliano Tanzania (TTCL) linalomilikiwa na serikali, limezindua teknolojia mpya iitwayo IP Transit ambayo ni mahsusi kwa kuziunganisha nchi au maeneo ambayo hayajapakana na bahari, ili kurahisisha mawasiliano kwa njia ya data kwa urahisi.

Benki ya Dunia imeoneshwa kufurahishwa na huduma hiyo kiasi cha kutoa ufadhili ili TTCL izidi kujiboresha zaidi na kuwafikia wateja wengi katika nchi nyingi zaidi.

Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma hiyo na nyingine nyingi zinazotolewa na TTCL, unaweza kuwasiliana nao TANZANIA TELECOMMUNICATIONS CORPORATION.

SHUHUDIA TEKNOLOJIA HIYO INAVYORAHISISHA MAWASILIANO

Comments are closed.