The House of Favourite Newspapers

Bongo Zozo Atua Dar, Kugawa Tiketi 100 Kwa Wanawake -Video

Muhamasishaji wa timu ya Taifa Stars, Bongo Zozo usiku wa kuamkia leo Novemba 14, 2019 ametua nchini akitoka nchini Uingereza kuiongezea nguvu Taifa Stars dhidi ya Equatorial Guinea Ijumaa saa 1 usiku Uwanja wa Taifa mchezo wa kufuzu Afcon 202.

Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 3) amesema kuti timu ya Taifa ikifungwa atawadai nauli yake na ametangaza kugawa tiketi 100 kwa Wanawake wajae Uwanjani kuiongezea nguvu.

Comments are closed.