The House of Favourite Newspapers

JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere, Atoa Mili. 20 – Video

Rais Dkt John Magufuli, ameendelea na ziara yake ya kutembelea, kukagua na kuzindua miradi mbalimbali inayotekelezwa katika maeneo mbalimbali hapa nchini.

 

Leo Septemba 05, Rais Magufuli ametembelea shule ya msingi Mwisenge mjini Musoma aliyosoma Baba wa Taifa , Mwl Julius Nyerere.

 

Na baada ya hapo , Rais Magufuli akafanya mkutano wa hadhara na kuzungumza na Wananchi katika viwanja vy Mkendo.

BREAKING: JPM Atembelea Shule Aliyosoma Nyerere

Comments are closed.