The House of Favourite Newspapers

Breaking News: WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA TANO, VYUO VYA UFUNDI 2018

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo.

Wanafunzi 70,904 waliohitimu kidato cha nne mwaka jana wamechaguliwa kujiunga na kidato cha tano, vyuo vya ufundi na vya elimu ya kati kwa mwaka 2018, huku wengine 21,808 waliokuwa na sifa za kuchaguliwa wakiachwa.

NB:  Server iko bize kidogo, endelea kurefresh kama itakuwa inagoma kufunguka

Comments are closed.