×

Michezo

Rasmi Msimu Sasa Unaanza Leo na Meridianbet

Jumamosi ya kibabe imefika na wewe huu ndio wakati wako wa kupiga pesa leo huku nafasi ya wewe kuchukua mkwanja...

READ MORE

Wallace Karia Apitishwa Tena Kuongoza TFF kwa Asilimia 100

Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamempitisha kwa kishindo Rais wa sasa, Wallace Karia,...

READ MORE

Yanga Yavuruga Sikukuu ya Rayon Sports, Yatwaa Kombe Kigali

Kigali, Rwanda – Wananchi Young Africans SC wameharibu sherehe ya Rayon Sports Day baada ya kuichapa wenyeji wao Rayon Sports...

READ MORE

Azam FC Yamaliza Kambi Karatu kwa Kutembelea Ngorongoro

Kikosi cha Azam FC kikiwa Karatu, mkoani Arusha, kimehitimisha kambi yake ya wiki mbili ya maandalizi ya msimu mpya kwa...

READ MORE

Msemaji Mkuu wa Serikali: Dawa za VVU Zinatolewa Bure Nchini – Video

Dar es Salaam, Agosti 15, 2025 – Msemaji Mkuu wa Serikali, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,...

READ MORE

Azam Fc Yampa Baraka Ninju, Safari Mpya Yaanza Yanga

KLABU ya Azam Fc imefikia makubaliano na klabu ya Yanga kuhusu mchezaji, Nizar Abubakar Othman almaarufu Ninju ambaye Yanga Sc...

READ MORE

Ligi Zimerejea, Vuna Pesa na Meridianbet Sasa

Baada ya heka heka za miezi miwili na siku chache hatimaye sasa ligi zimerejea na wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia...

READ MORE

Naby Camara Aanza Mazoezi Rasmi Simba Kuleta Ushindani Mkali

NYOTA mpya wa Simba SC, Naby Camara raia wa Guinea tayari ameanza kazi katika kikosi hicho kuelekea msimu wa 2025/26...

READ MORE

Yanga Yatoa Ufafanuzi Kuhusu Mchango wa CCM wa Shilingi Milioni 100

Uongozi wa Yanga SC umetoa ufafanuzi kuwa mchango wa Shilingi milioni 100 uliotolewa CCM tarehe 12 Agosti 2025, ulitolewa na...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Naby Camara kwa Mkataba wa Miaka Miwili

Klabu ya Simba SC imethibitisha kumsajili kiungo kiraka raia wa Guinea, Naby Camara, kama mchezaji huru kwa mkataba wa miaka...

READ MORE

CAF Yatoza Kenya Faini ya Milioni 127, Yaonya Kuhamishia Mechi Nje

Bodi ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) imeipiga Kenya faini ya dola 50,000 za Marekani (sawa na...

READ MORE

PSG vs Spurs: Frank Anapanga Kuandika Historia Mpya kwa Spurs

Kocha mpya wa Tottenham Hotspur, Thomas Frank, amesisitiza kuwa kikosi chake kiko tayari kwa mtanange wa UEFA Super Cup Jumatano...

READ MORE

Simba Yaanza Kazi, Yapata Ushindi Mabao 2-0 Kahraba Ismailia

WAWAKILISHI wa Tanzania kwenye anga la kimataifa katika Ligi ya Mabingwa Afrika, Simba SC wameanza kazi kupima kikosi chao wa...

READ MORE

Azam FC Yamsajili Edward Manyama kwa Mkataba wa Mwaka Mmoja

Dar es Salaam – Klabu ya Azam FC imethibitisha kumsajili beki wa kati Edward Charles Manyama kwa mkataba wa mwaka...

READ MORE

Cristiano Ronaldo Amvisha Georgina Pete ya Uchumba Yenye Thamani ya Hadi Bilioni 12

Nguli wa soka duniani, Cristiano Ronaldo (40), hatimaye amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda mrefu, Georgina Rodríguez, pete...

READ MORE

Mechi za Kufuzu Ligi ya Mabingwa Kukupa Mzigo Mkubwa Leo

Leo tena ni siku nzuri ya wewe kuondoka tajiri na Meridianbet kwani tayari mechi zipo kwaajili yako sasa. Suka jamvi...

READ MORE

Saleh Jembe: Simba na Yanga Zimeweka Msingi wa Mafanikio ya Taifa Stars

Mchambuzi mahiri wa soka nchini, Saleh Jembe, amesema kuwa ubora wa klabu kongwe za Simba SC na Yanga SC umechangia...

READ MORE

SportPesa Yamwaga Bilioni 21.7 kwa Yanga, Zawadi Nonoo Ubingwa wa Afrika

Kampuni ya michezo ya kubashiri, SportPesa, imeingia mkataba wa miaka mitatu na Klabu ya Yanga wenye thamani ya Shilingi Bilioni...

READ MORE

Jisajili Na Meridianbet Upate Bonasi Hadi Mara Tatu

Meridianbet inakukaribisha kwenye ulimwengu wa ushindi kwa ofa ya kipekee, ni 1st, 2nd & 3rd Deposit Welcome Bonus. Hii ni...

READ MORE

Ruto Aahidi TSh 48 Milioni kwa Kila Mchezaji Harambee Stars Wakishinda Zambia

Rais wa Kenya, William Ruto, leo amekutana na kikosi cha Harambee Stars na kutoa ahadi nono kuelekea mechi ya mwisho...

READ MORE

Nani Bingwa wa LALIGA 2025/26?

Wakali wa ubashiri Tanzania wanakwambia kuwa leo hii unaweza ukabashiri nani anaweza kuwa bingwa wa Laliga. Kila timu imepewa ODDS...

READ MORE

Caf Yapanga Droo Ya Awali Ligi Ya Mabingwa Afrika, Simba, Yanga Na Mlandege Wabaini Wapinzani

Droo ya hatua ya awali (preliminary round) ya Ligi ya Mabingwa Afrika kwa msimu wa 2025/26 imekamilika ambapo wawakilishi wa...

READ MORE

MultiChoice Yatoa Onyo Kali Dhidi ya Uvunjaji wa Haki Miliki za Matangazo ya Soka

Kampuni ya MultiChoice imetoa onyo kali kwa yeyote atakayehusika kurusha au kuonesha maudhui yenye haki miliki bila idhini na Imetangaza...

READ MORE

Kocha Simba Fadlu Davids Afichua Hesabu Kuelekea Msimu Mpya

KOCHA Mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids amesema kuwa wamefanya maboresho makubwa kwenye kikosi kwa kupata saini za wachezaji ambao...

READ MORE

Nafasi Kubwa ya Kuondoka na Mshindo Ipo Hapa

Jumamosi ya mwisho kabla ligi kuanza hii hapa imefika ambapo wakali wa ubashiri wanataka kuhakikisha kuwa huondoki patupu. Tengeneza jamvi...

READ MORE

CAF Yatangaza Vilabu 75 Bora Afrika 2025, Klabu 3 za Tanzania Zatamba

Shirikisho la Mpira wa Miguu Barani Afrika (CAF) leo limetoa orodha ya vilabu 75 bora kwa mwaka 2025, ikizingatia viwango...

READ MORE

Thierry Henry Ajiunga na Betway Kama Balozi wa Kimataifa wa Soka

Mshambuliaji wa zamani wa timu ya taifa ya Ufaransa na vilabu vikubwa vya soka barani Ulaya, Thierry Henry, sasa amejiunga...

READ MORE

Kapombe Aibeba Stars Dakika za Mwisho, Tanzania Yaendelea Kuongoza Kundi B

Dar es Salaam, Agosti 6, 2025 — Bao la dakika ya 89 lililofungwa na beki mahiri Shomari Kapombe limeipa Taifa...

READ MORE

Mshambuliaji Wa Mabao Yanga Auzwa Uarabuni

INAELEZWA kuwa Yanga wamefikia makubaliano ya kumuuza mshambuliaji wa mabao ndani ya kikosi hicho ambaye ni mzawa namba moja kufunga...

READ MORE

Meridianbet Kuileta iMoon, Fursa Mpya Kwa Kasino Mtandaoni

Kasi ya mabadiliko katika teknolojia ya burudani imeleta matakwa mapya kutoka kwa wachezaji, wanataka zaidi ya burudani ya kawaida. Wanatafuta...

READ MORE

Simba Yamtambulisha Anthony Mligo Kutoka Namungo

Klabu ya Simba imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kushoto, Anthony Mligo kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Namungo Fc...

READ MORE

Suka Jamvi Lako na Mchezaji Bora wa PFA Meridianbet

Je unajua kuwa unaweza kusuka jamvi la kumchagua mchezaji bora wa msimu mapema kabisa kabla ligi hazijaanza?. Ni rahisi sana...

READ MORE

Mashindano ya Kwanza ya Dunia ya Soka la Roboti Kuandaliwa – Timu 30 Kuonesha Ubora wa AI

Timu 30 kutoka mataifa kama Marekani, Brazil, Ujerumani na Ureno zinajiandaa kwa mashindano ya kwanza ya dunia ya roboti, ambapo...

READ MORE

RS Berkane Yamnyatia Mkali wa Simba Steven Mukwala

MKALI wa kucheka na nyavu ndani ya kikosi cha Simba SC, Steven Mukwala inaelezwa kuwa huenda akauzwa na kutokuwa sehemu...

READ MORE

Vodacom Yatambua Vipaji Vya Golf Kupitia Corporate Masters

Mkuu wa Idara ya Masoko na Ushirikiano kutoka Vodacom Tanzania Joseph Sayi  wa pili kushoto akimkabidhi tuzo moja ya washindi...

READ MORE

Yanga Hawapoi, Kiungo Wa Kazi Mohamed Doumbia Ndani

YANGA SC mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Tanzania Bara msimu wa 2025/26 hawapoi kutokana na kasi yao kwenye utambulisho wa...

READ MORE

Waziri Mkuu Amwakilisha Rais Dkt. Samia Ufunguzi Michuano Ya Chan 2024

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa Agosti 02, 2025 amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye sherehe za ufunguzi rasmi wa michuano...

READ MORE

Tanzania Yafungua CHAN Kwa Ushindi, Wakomba Mamilioni Ya Mama

TIMU ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imefungua pazia la CHAN 2024 kwa ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Burkina...

READ MORE

Simba Yamnasa Nyota wa Kenya, Mohamed Bajaber!

Klabu ya Simba SC imeendelea kuimarisha kikosi chake kwa msimu ujao kwa kumsajili kiungo mshambuliaji kutoka Timu ya Taifa ya...

READ MORE

Leo Ni Leo! Mamilioni Yako Yapo Hapa – Bashiri na Meridianbet

Ikiwa ni Jumamosi ya mwezi wa Agosti huku ligi mbalimbali Duniani zikiwa karibu kuanza, Meridianbet inakupa fursa ya kujipigia pesa...

READ MORE