CHADEMA WATAKIWA KUSITISHA MIKUTANO, ZIARA WILAYANI HAI
MKUU wa Wilaya ya Hai, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wasitishe mikutano na ziara zao katika Wilaya hiyo kwa mujibu wa barua iliyoandikwa na Katibu Tawala wa Wilaya hiyo.
Hata hivyo, barua hiyo haijaeleza ni sababu zipi zimepelekea katazo hilo
Comments are closed.