The House of Favourite Newspapers

Changamkia Fursa ya Safari ya Kwenda China Kwa Biashara na Utalii

0

Karibu Safari ya Kibiashara na kitalii “CHINA BUSINESS EXPOSURE TRIP AND FUN WALK 2024”
Itakayo jumuisha
1. Kutembelea Maonesho Makubwa ya Kimataifa ya Biashara CANTON Fair
2. Kutembelea Masoko Makubwa (MACHIMBO) ya bidhaa zenye soko hapa kwetu
3. Kutembelea Viwanda na masoko ambayo yana bidhaa zisizopatikana kabisa Tanzania ili kujipatia uwakala.
4. Kutalii kwenye Eneo la BAIYUN Mountain. (Mlima Mweupe)
5. Kukutana na wafanyabiashara wa China ili kukuza fursa zaidi
Gharama ni $2750 (unaweza lipa kwa Shilingi) zita jumuisha:
1. Tiketi ya Ndege (kwenda na kurudi )
2. Malazi (Bed n Breakfast)
4. Visa Ubalozini
5. Usafiri Masokoni
6. Huduma za Ukalimani na kutembezwa Masokoni.
7. Bima ya Safari
Imethibitishwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) na Kupewa Nguvu na GS1 (Barcode) Tanzania.
Tupigie 0754 088 461.

Leave A Reply