The House of Favourite Newspapers

CHRISTIAN BELLA ALIVYOWADATISHA MASHABIKI TABATA

Christian Bella akiwajibika jukwaani.

Mwanamuziki wa dansi, Christian Bella ‘Obama’ na Malaika Band, usiku wa kuamkia leo walifanya makamuzi ya nguvu ndani ya Ukumbi wa Next Door uliopo Tabata-Segerea jijini Dar ambapo ilikuwa ni full burudani.

Bella alitumia fursa hiyo kuwatangazia mashabiki waliofurika ukumbini hapo kuwa wajiandae kwa shoo yake ya nguvu anayotarajia kuipiga ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live siku ya Krismasi ijayo.

Matukio katika Picha:

Wanamuziki wa Malaika wakiwa kazini.
Mashabiki wakijimwaya.
Shabiki akimtunza muimbaji wa Malaika Band.

PICHA: RICHARD BUKOS / GPL   

Comments are closed.