The House of Favourite Newspapers

CPA Makalla Aongoza Ujumbe wa NEC Katika Ziara Nchini China

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM CPA Amos Makalla ameongoza ujumbe wa NEC ya CCM katika ziara nchini China. Ujumbe huo ulikutana na Mkurugenzi Mkuu, Ofisi ya Masuala ya Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara wa IDCPC Rao Huihua mjini Beijing.