The House of Favourite Newspapers

Dk Mwaka Afunguka – “Ndoa Yangu Haijavunjwa, Mufti Naomba Toa Tamko”- Video

0

Baada ya sakata la mke wa Dokta Mwaka kudai talaka kuchukua sura mpya hapo jana, Januari 25, 2023 na uamuzi wa kuivunja ndoa hiyo kupitishwa na Baraza la Masheikh, Dokta Mwaka ameibuka na kuvunja ukimya.

Leave A Reply