The House of Favourite Newspapers
gunners X

Dkt. Mwigulu Awasili Zanzibar Kwa Uzinduzi wa Miradi ya Maendeleo

0
Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba leo Januari 04, 2026 amewasili Zanzibar ambapo atashiriki katika uzinduzi wa miradi ikiwa ni sehemu ya shamrashamra kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewasili Zanzibar leo, Januari 4, 2026, kwa ziara ya kikazi.

Katika ziara hiyo, Dkt. Mwigulu atashiriki kwenye uzinduzi wa miradi mbalimbali ya maendeleo, ikiwa ni sehemu ya shamrashamra zinazoelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 62 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.

Miradi hiyo inalenga kuimarisha huduma za kijamii na kuchochea maendeleo kwa wananchi.

Leave A Reply