The House of Favourite Newspapers

Dogo Janja na Mpenzi wake Quenlinnah Wapata Mtoto

0

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Abdulazizi Chande almaarufu “Dogo Janja” kupitia ukurasa wake wa instagram amefunguka kuwa yeye na mpenzi wake aitwaye Quenlinnah wamepata mtoto Novemba 15, 2023.

 

BIBI wa MWANAESHA AMWAGA MACHOZI, AMEONA COMMENT AKISEMWA ALIMYANYASA MJUKUU WAKE HADI AKATOROKA…

Leave A Reply