#Exclusive: Dude Afichua Alivyokamatwa Benki Akiogopwa Ataiba Pesa – Video
MSANII wa filamu Bongo Kulwa Kikumba maarufu kama Dude aliyepata umaarufu kupitia Tamthilia ya Bongo Dar es salaam amefunguka kupitia Global TV kuhusiana na Mtangazaji Diva Gissele Malinzi au Diva The Bawse msanii mpya ndani ya tamthilia ya Dosari kwani kitaongeza kitu ndani ya Tamthiliya hiyo.