GANZI ya Maumivu Kwenye Upendo kuwafikia wakazi wa Njombe, Iringa
BAADA ya kuingia mtaani kikianzia Dar na vitongoji vyake kitabu cha Ganzi ya Maumivu Kwenye Upendo sasa kuwafikia wakazi wa Njombe na Iringa ambao wanahitaji kuisoma simulizi hiyo inayozungumzia maisha ya Kiafrika, athari za madawa ya kulevya, usaliti, visasi.
Imeandikwa na Lunyamadzo Mlyuka Mhariri ni Omary Mdose, Mhakiki Jeseph Shaluwa ambaye ni mtunzi wa hadithi mwenye uzoefu. Kuipata oda 0756 028 371