The House of Favourite Newspapers

Hamisa Mobetto – Madam Hero (Video Mpya)

MWANAMITINDO na mjasiriamali ambaye pia ni mzazi mwenzake na Diamond Platinumz, Hamisa Mobetto ameachia Video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Madam Hero’ ambao umeandikwa na mwanamuziki Foby na kutengenezwa na Producer, C9 Kanjenje.

Kutazama video hiyo, Ingia Global Publishers App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:

Android ===>GooglePlay

iOS ===>AppStore

Baada ya kuingia bonyeza GLOBAL MUSIC

Comments are closed.