Wimbo Mpya Wa Harmonize, Rayvanny – Paranawe
Wasanii Harmonize, Rayvanny wanaotoka lebo ya WCB inayomilikiwa na Diamond Platnumz, wameileta audio ya wimbo wao mpya, ‘Paranawe’.
Audio imefanywa na Lizzer toka Wasafi records.
Unaweza kuisikiliza na ku download chini kabisa kama umeipenda.
Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri kwa sasa ingia Global App na kama huja install, nimekuwekea link hapa chini:👇👇👇👇
Android ===>GooglePlay
iOS ===>AppStore
Isikilize hapa.
Comments are closed.