The House of Favourite Newspapers

Hatimaye Vee Money, Jux Uso kwa Uso Jukwaa la Fiesta Arusha (Video)

0

WASANII wa Bongo Fleva ambao pia wamekuwa wapenzi kwenye mahusiano yao kwa miaka kadhaa huku wakidai kuachana hivi karibuni, Juma Jux na Vanesa Mdee ‘Vee-Money’ juzi Jumamosi walikutana pamoja kwenye Jukwaa la Shoo ya Fiesta iliyofanyika mkoani Arusha.

Baada ya kushuka jukwaani, Jux na Vee Money kila mmoja alikuwa alikuwa na haya ya kusema.

Leave A Reply