The House of Favourite Newspapers
gunners X

Hii hapa Hotuba ya Rais Dkt. Samia Akifungua Bunge la 13, Novemba 14, 2025 – Video

0

Rais Samia ameeleza safari hiyo Novemba 14, katika hotuba wakati wa kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, jijini Dodoma.

Bofya hapa kusoma HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN, WAKATI WA KUFUNGUA RASMI BUNGE LA 13 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, DODOMA, TAREHE 14 NOVEMBA 2025

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu akizungumza mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14, 2025 Jijini Dodoma.
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba akitoa Hotuba ya kuahirisha Bunge mara baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Samia Suluhu Hassan kulihutubia na kulifungua Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Novemba 14, 2025 Jijini Dodoma.
Rais Samia  akiwa kwenye picha na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mussa Azan Zungu pamoja na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. George Mcheche Masaju mara baada ya kufungua rasmi Bunge la 13 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Jijini Dodoma tarehe 14 Novemba, 2025.

Leave A Reply