×

Jihan Dimachk Aibuka Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016

cyko0yrwqaahim_

DAR ES SALAAM: Mrembo Jihan Dimachk aibuka mshindi wa shindano la Miss Universe Tanzania 2016 lililofanyika Usiku wa Novemba 25, 2016.

cykozdpweaaueno

Jihan Dimachk, Mshindi wa Miss Universe Tanzania 2016 /2017, amezaliwa na kukulia Mwanza, amesomea nchini Mozambique na sasa anaishi Dar Es Salaam.

cyko15lwiaa78ba

Jihan ni mrembo aliyeshinda taji la Miss Ilala mwaka 2014 na kuingia tatu bora Miss Tanzania mwaka huohuo, Wazazi wake ni mchanganyiko wa Tanzania/Lebanon.

screenshot_20161126-071105

Nafasi ya pili ya shindano la Miss Universe 2016 ilichukuliwa na Lilian Loth kutoka Kampala University na nafasi ya tatu ilichukuliwa na Lilian Felix ambaye alikuwa aniwakilisha UDSM.

House Girl Aiba Bastola na Risasi 23