The House of Favourite Newspapers

Jike Shupa: Serengeti Boys Wanajua

0
Zena Abdallah ‘Jike Shupa’.

MUUZA sura kwenye video mbalimbali za wanamuziki wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ ametoa sababu za kutoka kimapenzi na wanaume anaowazidi umri ‘serengeti boy’ akidai ni kwa vile wana uwezo katika mapenzi.

Akichonga na Za Motomoto News, Jike Shupa ambaye anatoka kimapenzi na kijana anayemzidi umri, aitwaye Monterego, alisema vijana wadogo damu zao zinachemka tofauti na ‘wahenga’ ambao wamechoka.

“Vijana wadogo ni raha, maana hawana kazi mbovu kabisa, tofauti na wazee ndiyo maana nimeamua kuwa na mpenzi ninayemzidi umri kwa sababu hata sifikirii kuchepuka kwa kweli maana ananitosheleza,” alisema Jike Shupa.

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

Leave A Reply