The House of Favourite Newspapers

JUMA NATURE ASEPA NA KIJIJI DAR LIVE (PICHA +VIDEO)

Msanii nguli wa Bongo Fleva, Juma Kassim ‘Nature’ , akitoa shoo usiku wa Vanny Day.

SHANGWE zilikuwa shangwe usiku wa kuamkia leo ndani ya Uwanja wa Taifa wa Burudani Dar  usiku wa Vanny Day ambapo wakali wa kudondosha utamu wa burudani, Juma Nature, Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’, Mzee wa Bwax, Gigy Money na wengine waliteka jukwaa kwa kuachia mangoma ya maana na kuwaacha mashabiki zao waki-enjoy vilivyo.

Nature akikamua jukwaani.
Mashabiki wakimshangilia.
…Shoo ikibamba.
…Akiongea na mashabiki

PICHA NA RICHARD BUKOS, GPL

Comments are closed.