Kagere, Mayanga Wang’ara Vpl Mwezi Agosti


Mshambuliaji wa Simba, Meddie Kagere amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu Tanzania Bara kwa mwezi Agosti akiwashinda Lucas Kikoti wa Namungo na Seif Karihe wa Lipuli.

Naye Kocha wa Ruvu Shooting, Salum Mayanga amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi huo akiwashinda Mecky Mexime wa Kagera Sugar na Hitimana Thiery wa Namungo
Toa comment