Kigamboni Wayafagilia Magazeti ya Risasi na Championi Jumamosi

Muuza duka akionyesha nakala za magazeti aliyonunua baada ya kutembelewa jana

Kitengo cha Mauzo cha Global Publishers Julai 27, 2019 kilitembeea wananchi wa Kigamboni na kuwakuta wakijiachia na magazeti ya Risasi Jumamosi na Championi Jumamosi.

Wananchi waliyamwagia sifa magazeti hayo wakisema kuwa ni magazeti bora na magazeti mazuri huku wakiwaasa wengine kujippatia nakala za magazeti hayo kila Jumamosi.

Wasomaji wa gazeti la Championi Jumamosi wakiendelea kufaidi uhondo.

Wasomaji wa magazeti ya Championi Jumamosi na Risasi Jumamosi wakiwa kwenye pichaya pamoja.


Loading...

Toa comment