KOCHA wa timu ya Simba Patrick Aussems amechaguliwa kuwa Kocha Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20