The House of Favourite Newspapers

ads

Kombe la Shirikisho: Simba vs Dodoma Jiji, Yanga vs Mwadui

0

DROO ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho ambalo lipo mikononi mwa Simba imechezwa leo na ilikuwa mubashara AzamSports1HD.

Mbele ya vikapu alikuwepo Maalim Saleh na Hussein Sued ambao walikuwa wakichezesha droo hiyo na mambo yamekuwa namna hii:-

 

Simba v Dodoma Jiji

Rhino Rangers v Azam FC

Biashara United v Namungo FC

Mwadui FC v Yanga

 

Nusu fainali

Mshindi wa mchezo wa Simba v Dodoma v mshindi wa mchezo kati ya Rhino v Azam FC.

Mshindi wa Biashara United v Namungo v mshindi wa mchezo kati ya Mwadui FC v Yanga.

Leave A Reply