The House of Favourite Newspapers

KONGAMANO LA KUFUNGA MWAKA CHUO KIKUU DAR

Chuo Life Tanzania inakuletea Kongamano kubwa la kihistoria la vijana wa vyuo vikuu vyote vya Dar es Salaam (CHUO LIFE TIME 2018)   

Lengo ni;

  1. Kumjengea kijana uwezo kujitambua na kutambua Thamani aliyoibeba kwenye maisha yake katika safari ya mafanikio.
  2. Kutambua fursa na Changamoto za maisha ya chuo na kuzitumia katika kufanikisha malengo yake.

Njoo ujifunze kutoka kwa watu mashuhuri na wabobezi katika fani mbali mbali, jenga mtandao wako wa mafanikio.

Kutana na Eric Shigongo, mjasiliamali na mhamasishaji maarufu Afrika Mashariki.

Dr. Chriss Mauki, mbobezi na mtaalamu wa mahusiano na Saikolojia.

Ester Mmasy, Mbunge mwenye dhamana ya vyuo vikuu Tanzania.

 

Benjamin Fernandez, Sam Sasali, Charles Nduku, Shilole (Shishi baby), Amyna Sanga, Badru Juma Rajabu, Paul Siniga, Elias Patrick, Frank Mettew, Mc Lukinga na Ebitoke

 

Mgeni rasmi atakuwa Naibu waziri wa vijana, kazi, ajira, sera na walemavu, Mhe. Antony Mavunde,

Kiingilio ni bureeee

Vinywaji na vitafunwa ni bureeee

Photoshooting ndani ya Red carpet

Ni leo Jumamosi, Novemba 17, 2018 ndani ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.

 

Venue ni *Yombo 4* kuanzia saa 2 na nusu Asubuhi hadi saa 10 jioni.

Comments are closed.