The House of Favourite Newspapers

LIVE CHADEMA: “Tuliridhika Waliobakia Wote ni Marehemu?” – Video

Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe amezungumzia kuhusu uokoaji wa wa Wananchi waliozama kwenye ajali ya MV Nyerere iliyotokea jana katika ZiwaVictoria na kuua Watanzania takribani 100.

 

“Tumeshindwa hata kupakia jenereta kwenye mtumbwi tukaenda kuwasha umeme tukawaokoa, au tuliridhika kwamba wote waliobakia humo ni marehemu? Huwezi kuokoa watu waliolala kwenye maji kesho yake asubuhi.

 

“Kwa hili la MV Nyerere, Wananchi wote tuungane tupige kelele, mtu awajibike kwa uzembe huu. Ingekuwa nchi za wenzetu, tangu jana wangekuwa wameshaadhibiwa. Chadema tunamtaka Rais achukue hatua kuwawajibisha hawa watu, ninaongea kama Mtanzania,” amesema Mbowe.

 

VIDEO: MSIKIE HAPA

Comments are closed.