The House of Favourite Newspapers

LIVE: Ibada ya Kuaga Mwili wa Mke wa Mwakyembe, KKKT Kunduchi-Dar

0

Mwili wa aliyekuwa mke wa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe, Bi. Linah George Mwakyembe unatarajiwa kuagwa leo katika Kanisa la KKKT lililopo Kunduchi Beach jijini Dar es Salaam kabla ya kusafirishwa kwenda wilayani Kyela mkoani Mbeya kwa ajili mazishi.

Leave A Reply