The House of Favourite Newspapers

LIVE: Matukio Yote Mahakama Kuu Ilivyofuta Uchaguzi Kenya

0

KUFUATIA Mahakama Kuu nchini Kenya kuyafuta matokeo ya Uchaguzi wa Rais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta kutokana na kile kilichobainika kuwa uchaguzi huo uligubikwa na dosari nyingi hivyo kuamuru uchaguzi huo urudiwe ndani ya siku 60, Global TV Online imepiga kambi nchini kenya na leo saa 8:00 mchana itakuletea LIVE mchakato mzima ulivyofanyika kuufuta uchaguzi huo.
Pia utawasikia wagombea wa Urais Raila Odinga wa Umoja wa Upinzani (NASA) na Uhuru Kenyatta wa chama tawala cha Jubilee wakifunguka kuhusu mwelekeo wa uchaguzi ujao wa marudio.

Pia utashuhudia maandamano ya wanachama wa vyama vyote vikubwa nchini humo na kauli zao pamoja na kauli za wananchi kuhusiana na tukio hilo la kihistoria.

USIKOSE KUTAZAMA GLOBAL TV LIVE FROM KENYA ===> GLOBAL TV ONLINE

Leave A Reply