The House of Favourite Newspapers

AZAM FC MABINGWA WAPYA WA ASFC

Timu ya Azam imechukua Ubingwa wa Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuichapa Lipuli FC bao 1-0 kwenye mchezo wa fainali uliomalizika jioni ya leo katika Uwanja wa Ilulu, mjini Lindi. Bao la Azam FC limefungwa na   Obrey Chirwa dakika ya 65 kipindi cha pili.

Azam FC atakwenda kuiwakilisha nchi kwenye michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika.

Comments are closed.