The House of Favourite Newspapers

UVCCM Wamcharukia MBOWE “Unatafuta Huruma, Huna Sera”- VIDEO

Umoja wa Vijana na Chama cha Mapinduzi (UVCCM) wameibuka na kujibu hoja zote zilizotolewa na Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe, zikidai kuwa CCM hawkushinda Uchaguzi wa Marudio uliofanyika Septemba 16, kwa uhalali.

 

Akizungumza na waandishi wa habari, Katibu Hamasa wa UVCCM, Bombolo, amemtaka Mbowe na Chama hake kukaa chini na kujitathmini ili waweze kujua kinachowafanya washindwe kwenye uchaguzi.

Comments are closed.