FULL TIME VIDEO: Taifa Stars 2-0 Botswana, Uwanja wa Taifa Dar
Global Publishers March 25, 2017
SHARE THIS:
TAZAMA VIDEO YA MABAO YOTE ALIYOTUPIA SAMATTA
Dakika 90 za mchezo kati ya Tanzania na Botswana zimemalizika uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambapo Taifa Stars ya Tanzania imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 2-0 zidi ya Botswana, mabao yote yakifungwa na Straiker wa Kimataifa wa KRC Genk ya Ubelgiji, Mbwana Ally Samatta kunako dakika ya 3 na 87 ya mchezo huo.