The House of Favourite Newspapers

Magari ya ‘Bure’ Haya Hapa, Njoo Jumamosi Uchuke la Kwako! – Video

Kampuni ya Tambaza Auction Mart and General Brockers Ltd, inakuletea mnada mkubwa wa hadhara utakaotikisa jiji la dar es salaam, keshokutwa Jumamosi, Mei 18, 2019.

Unaruhusiwa kwenda kukagua bidhaa zote zitakazouzwa kwenye LCDs zilizopo ofisi za LW9, Bandarini, nyuma ya Police Central kuanzia leo Alhamisi ili siku ya mnada uchukue chako mapema.

Yapo magari, vifaa vya ujenzi nondo, tiles na vitu kibao. Mnada huu utaanza Jumamosi saa 4:00, katika Bandari Kavu ya Ubungo iliyopo Barabara ya Shekilango.

Tazama Video Hii Uone Vitu

Comments are closed.