Majambazi Waazua Taharuki Lumumba Dar – Video

 

WATU wawili wanaotuhumiwa kuwa ni majambazi wamevamia moja ya ghorofa lililopo mtaa wa Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Desemba 07 majira ya saa 5 asubuhi.

 

“Watu wawili walipanda kwenye ghorofa wakafika kwa mwanamke mmoja, na kwa sababu alikuwa hawatambui, akapiga kelele. Bwana Juma Amour akapiga risasi tatu hewani na wale vijana wakakimbia. Kimsingi hakuna ujambazi uliofanyika katika eneo lile [Lumumba].” – Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam Muliro Jumanne.

 


Toa comment