×

MAKAMUZI YA MR BLUE, MWANA FA, USIPIME NEXT DOOR (PICHA +VIDEO)

Alikiba akikamua na Kayumba ambaye ni timu yake.
Haya ndiyo yalikuwa makeke ya Abdul Kiba alipovamia jukwaa.

Shangwe za mashabiki.
Dogo Aslay akipagawisha mashabiki.
MwanaFA (kushoto) naye alikamua ile mbaya baada ya kupanda jukwaani na Alikiba.

Billnass  akifanya yake.

MAKAMUZI ya wanamuziki Mr blue, Mwana Fa, Billnass na Dogo Aslay, yalikuwa ya aina yake  usiku wa kuamkia leo AMBAPO mashabiki wa burudani walifurika ndani ya Club Next Door Arena iliyopo Masaki jijini Dar ambapo kulikuwa na tamasha la funga mwaka lililoandaliwa na mwanamuziki wa kizazi kipya, Ali Kiba,  na kundi lake  Tamasha hilo lilikwenda kwa jina la Funga Mwaka na King Kiba.

HABARI/ PICHA: RICHARD BUKOS / GPL