Mama Love Kungwi Akataa Kuwa Shangingi, “Hatupendi Wanaume Baridi”- Video
Mama Love Kungwi amefunguka kupitia Global TV na kueleza kuwa ndoa nyingi siku hizi zinaharibika kwa sababu ya uwepo wa Makungwi wengi ambao ni watoto jambo ambalo si sawa.