The House of Favourite Newspapers

MARTIN KADINDA ANYAKUA TUZO KUBWA AFRICA

Katika Usiku wa Maonyesho ya Mavazi ya Kiume yaliyofanyika Lagos nchini Nigeria jana Novemba 16, 2018, mbunifu wa mavazi maarufu Bongo, Martim Kadinda ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mbunifu wa Mavazi (Africa) kwa mwaka 2018.

 

Kadinda kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika; “🇹🇿To the World., Designer of The Year Africa👑@themanawardsAfrica’s Designer of The Year 2018…!! 🤴🏼Am Humbled. The World Is ReadY👑

Shukurani Za dhati kwa mwenyezi Mungu kwa Afya, akili na ubunifu…Shukrani kwa Wizara Ya Habari, michezo na Utamaduni Kupitia Basata.Shukurani za Dhati kwa Familia, mama Yangu, dada na kaka zangu.. wadogo zangu na ndugu zangu wote…@wemasepetu and Ur Amaizing Team wema and die Hard fans🙌🏽🙌🏽🙌🏽..MK empire with All the Love and Support always🙌🏽My friends mnajijua.. cant mention all of you.. ila asante sana.

Las Vegas nawasahauje sasa😂🤣😂😂. Majirani zangu vipenzi sijawasahau.Nitamaliza wote ? My fans in Belgium, south africa, Holland, china, states and All of the World 🌎.

RAYVANNY Kufungiwa Maisha!! BASATA Wa Washa Moto

Comments are closed.