MASHUHUDA WASIMULIA Chanzo Cha MOTO – “Ulianza kwa Mama Ntilie”

Baadhi ya mashuhuda wa tukjio la ajali ya moto iliyotokea maeneo ya Msamvu Mkoa wa Morogoro wameelezea jinsi moto ulivyoanza hadi watu wakapoteza maisha.

Wamesema kuwa wameokota maiti nne ambazo ni wanawake wawili , mwanaume na mtoto mmoja.


Loading...

Toa comment