The House of Favourite Newspapers

Mayele Atetema Uwanja wa Mkapa baada ya kuifunga Ethiopia kufuzu AFCON 2025

Fiston Mayele ametetema katika dimba la Benjamin Mkapa baada ya kuifungia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo bao la pili dhidi ya Ethiopia katika mchezo wa kuwania kufuzu AFCON 2025.

Ethiopia 0-2 DR Congo
⚽ 62’ Bongonda
⚽️ 76’ Fiston Mayele

Lesotho 0-1 Morocco
Angola 2-1 Sudan
Niger 1-1 Ghana
EQ Guinea 2-2 Togo
Burundi 0-1 Senegal
Madagascar 1-1 Comoros
Uganda 2-0 Congo Brazzaville