The House of Favourite Newspapers

Miraji Athumani Achaguliwa Kuwa Mchezaji Bora wa Mwezi

MSHAMBULIAJI wa timu ya Simba ya Dar es Salaam, Miraji Athumani amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Septemba wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu wa 2019/20.

Comments are closed.