The House of Favourite Newspapers

Mjumbe wa Kamati ya Utendaji TFF, Dkt. Paul Marealle Afariki Dunia

0

Rais wa TFF Wallace Karia ametuma salamu za rambirambi kwa ndugu na wadau wa soka kutokana na kifo cha Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho hilo Dkt. Paul Marealle kilichotokea jana usiku. Mpaka anafariki Dkt. Marealle pia alikuwa Mwenyekiti Kamati ya Tiba ya TFF

Leave A Reply