Mobeto: Nipo Singo, Mama Yangu Havai Suruali – Video

Mwanamitindo Hamisa Mobeto, amesema kwa sasa hana mpenzi (yupo ‘single’), hii ni kutokana na u-bize wa kazi  nyingi alizokuwa nazo.

 

Hamisa ambaye mashabiki wake wamezoea kumuona akiwa na mama yake tu bila baba yake, amezungumza kwa mara ya kwanza kuhusu kifo cha baba yake ambapo ameweka wazi kuwa maisha yake alilelelewa na baba wa kambo.

MSIKIE MOBETO AKISEMA


Loading...

Toa comment