The House of Favourite Newspapers

Mukandara, Zitto Kuunda Kikosi Kazi

0

MSAJILI wa vyama vya siasa Tanzania, Jaji Francis Mutungi ameteua kikosi kazi cha watu 23 kinachojumuisha makundi mbalimbali cha kupitia hoja zilizotolewa katika mkutano wa wadau wa demokrasia Dodoma. Mwenyekiti atakuwa Profesa Rwekaza Mukandara na kitazinduliwa Januari 10, 2022.

Baadhi ya wajumbe wapo Zitto Kabwe, Hamad Rashid Mohamed, Sisty L Nyahoza, Profesa Bernadeta Kilian, Profesa Alexander Makulilo, Amina Salum Ali, Haji Omari Heri, Juma Ali Khatib, Christina Mndeme.

Abdul Mluya, Saumu Rashid, Sheikh Alhad Mussa Salum, Mchangaji George Fupe, Anne Kulaya, Deodatus Balile, Martine Mng’ong’o, CP Benadict Walulyamba, Edward Hosseh, Slim Abdallah.

Leave A Reply