The House of Favourite Newspapers

Mwigulu Apigwa Butwaa Eneo la Tukio Walipouawa Polisi 8 Kibiti

1
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba akiwa eneo la tukio walipouawa polisi nane Kibiti Mkuranga.
Mkuu wa Mkoa wa Pwani, Evarist Ndikilo akitoa maelezo kwa mkono kwa Mwigulu.
Mwigulu akushudia eneo la tukio, Kulia ni RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga.
Eneo ambapo askari hao walifariki baada ya kuvamiwa na majambazi.

Askari aliyenusurika katika eneo la tukio, PC Fredirick.

Ndikilo akionyesha maficho ya Majambazi walipokuwa.
Moja ya askari akikagua eneo la maficho.

Muonekano wa gari la polisi baada ya majanga.
RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga akiwa eneo la tukio.

RPC wa Pwani, Onesmo Lyanga akiongea jambo.

(PICHA: MWANDISHI WETU/GPL)

1 Comment
  1. […] Mwigulu Apigwa Butwaa Eneo la Tukio Walipouawa Polisi 8 Kibiti […]

Leave A Reply